• Hedhi Salama

    Elimu kuhusu Hedhi Salama ni muhimu kwa vijana wote wa kike kwa wakiume.

Hedhi Salama ni nini?

Hedhi ni mabadiliko katika hali ya ukuaji ama balehe kwa mtoto wa kike. Hedhi salama ni ile ambayo mtoto wa kike atapata mahitaji yote muhimu kama pedi, maji na sehemu safi ya kubadilisha.

pedi

Maji Safi

Sehemu safi ya kubadilisha

Our Products

  • Glory Sanitary Products